Agano la Kale

Agano Jipya

Mdo 2:14 Swahili Union Version (SUV)

Lakini Petro akasimama pamoja na wale kumi na mmoja, akapaza sauti yake, akawaambia, Enyi watu wa Uyahudi, na ninyi nyote mkaao Yerusalemu, lijueni jambo hili, mkasikilize maneno yangu.

Kusoma sura kamili Mdo 2

Mtazamo Mdo 2:14 katika mazingira