Agano la Kale

Agano Jipya

Mdo 12:20 Swahili Union Version (SUV)

Naye Herode alikuwa amewakasirikia sana watu wa Tiro na Sidoni; wakamwendea kwa nia moja, na wakiisha kufanya urafiki na Blasto, mwenye kukitunza chumba cha mfalme cha kulalia, wakataka amani; kwa maana nchi yao ilipata riziki kwa nchi ya mfalme.

Kusoma sura kamili Mdo 12

Mtazamo Mdo 12:20 katika mazingira