Agano la Kale

Agano Jipya

Zaburi 35:27-28 Biblia Habari Njema (BHN)

27. Lakini wanaotaka kuona kuwa sina hatia,wapaaze sauti kwa furaha waseme daima:“Mwenyezi-Mungu ni mkuu mno!Hupendezwa na fanaka ya mtumishi wake.”

28. Hapo nami nitatangaza uadilifu wako;nitasema sifa zako mchana kutwa.

Kusoma sura kamili Zaburi 35