Agano la Kale

Agano Jipya

Yoshua 6:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini Yoshua akawaamuru watu, “Msipige kelele au kutoa sauti, wala neno lolote lisitoke vinywani mwenu, mpaka siku ile ambapo nitawaambieni mpige kelele; wakati huo ndipo mtakapopiga kelele.”

Kusoma sura kamili Yoshua 6

Mtazamo Yoshua 6:10 katika mazingira