Agano la Kale

Agano Jipya

Yoshua 4:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Nyinyi mtawaambia, ‘Sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu lilipopitishwa mtoni Yordani, maji ya mto huo yalizuiliwa yasitiririke!’ Kwa hiyo mawe haya yatakuwa ukumbusho kwa Waisraeli milele.”

Kusoma sura kamili Yoshua 4

Mtazamo Yoshua 4:7 katika mazingira