Agano la Kale

Agano Jipya

Yoshua 4:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Wanaume wa kabila la Reubeni na la Gadi na nusu ya kabila la Manase waliwatangulia Waisraeli wakiwa na silaha zao, kama vile walivyoagizwa na Mose.

Kusoma sura kamili Yoshua 4

Mtazamo Yoshua 4:12 katika mazingira