Agano la Kale

Agano Jipya

Yoshua 22:22 Biblia Habari Njema (BHN)

“Mungu wa miungu ndiye Mwenyezi-Mungu! Mungu wa miungu ndiye Mwenyezi-Mungu! Yeye anajua kwa nini tumefanya hivyo. Na Waisraeli wote watajua pia! Kama huu ni uasi au ni ukosefu wa imani kwa Mwenyezi-Mungu basi, yeye aache kutuokoa leo.

Kusoma sura kamili Yoshua 22

Mtazamo Yoshua 22:22 katika mazingira