Agano la Kale

Agano Jipya

Yoshua 21:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Kura ya kwanza ilizipata jamaa za ukoo wa Kohathi. Miongoni mwao wazawa wa kuhani Aroni walipewa kwa kura, miji iliyokuwa katika maeneo ya makabila ya Yuda, Simeoni, na Benyamini. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na mitatu.

Kusoma sura kamili Yoshua 21

Mtazamo Yoshua 21:4 katika mazingira