Agano la Kale

Agano Jipya

Yoshua 2:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, Yoshua, mwana wa Nuni, akawatuma watu wawili kwa siri kutoka Shitimu waende kufanya upelelezi, katika nchi ile na hasa mji wa Yeriko. Wakaenda, wakafika kwenye nyumba ya malaya mmoja aliyeitwa Rahabu wakalala humo.

Kusoma sura kamili Yoshua 2

Mtazamo Yoshua 2:1 katika mazingira