Agano la Kale

Agano Jipya

Yoshua 19:47 Biblia Habari Njema (BHN)

Watu wa kabila la Dani walipopoteza nchi yao, walikwenda na kuushambulia mji wa Leshemu. Waliushinda na kuuteka, na baada ya kuwaua wakazi wake wote, waliumiliki halafu wakabadili jina la mji huo kuwa Dani; jina ambalo lilikuwa ni la babu yao.

Kusoma sura kamili Yoshua 19

Mtazamo Yoshua 19:47 katika mazingira