Agano la Kale

Agano Jipya

Yoshua 18:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Upande wa magharibi wa mlima huo ulio kusini mwa Beth-horoni mpaka uligeuka ukaelekea kusini hadi Kiriath-baali, uitwao pia Kiriath-yearimu, mji ambao ni mali ya kabila la Yuda. Huu ndio uliokuwa mpaka wake upande wa magharibi.

Kusoma sura kamili Yoshua 18

Mtazamo Yoshua 18:14 katika mazingira