Agano la Kale

Agano Jipya

Yoshua 15:39-58 Biblia Habari Njema (BHN)

39. Lakishi, Boskathi, Egloni,

40. Kaboni, Lahmamu, Kithlishi,

41. Gederothi, Beth-dagoni, Naama na Makeda. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na sita pamoja na vijiji vyake.

42. Tena walipewa miji ya Libna, Etheri, Ashani,

43. Yifta, Ashna, Nezibu,

44. Keila, Akzibu na Maresha. Jumla ya miji waliyopewa ni tisa pamoja na vijiji vyake.

45. Vilevile walipewa Ekroni pamoja na miji yake midogo na vijiji,

46. miji yote na vijiji vilivyokuwa karibu na Ashdodi kati ya Ekroni na bahari,

47. Ashdodi na Gaza pamoja na miji na vijiji vyake, mpaka kijito cha Misri hadi pwani ya bahari ya Mediteranea.

48. Miji iliyokuwa kwenye eneo la milimani ni Shamiri, Yatiri, Soko,

49. Dana, Kiriath-sana (yaani Debiri),

50. Anabu, Eshtemoa, Animu,

51. Gosheni, Holoni na Gilo. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na mmoja pamoja na vijiji vyake.

52. Walipewa pia miji ya Arabu, Duma, Eshani,

53. Yanimu, Beth-tapua, Afeka,

54. Humta, Kiriath-arba (yaani Hebroni) na Siori. Jumla ya miji waliyopewa ni tisa pamoja na vijiji vyake.

55. Pia walipewa miji ya Maoni, Karmeli, Zifu, Yuta,

56. Yezreeli, Yokdeamu, Zanoa,

57. Kaini, Gibea na Timna. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi pamoja na vijiji vyake.

58. Vilevile miji ya Halhuli, Beth-suri, Gedori,

Kusoma sura kamili Yoshua 15