Agano la Kale

Agano Jipya

Yoshua 15:21-38 Biblia Habari Njema (BHN)

21. Miji iliyokuwa upande wa kusini kabisa wa nchi ya Yuda kuelekea mpaka wa Edomu ilikuwa: Kabseeli, Ederi, Yaguri,

22. Kina, Dimona, Adada,

23. Kedeshi, Hazori, Ithnani,

24. Zifu, Telemu, Bealothi,

25. Hazor-hadata, Kerioth-hezroni (yaani Hazori),

26. Amamu, Shema, Molada,

27. Hasar-gada, Heshmoni, Beth-peleti,

28. Hasar-shuali, Beer-sheba, Biziothia,

29. Baala, Iyimu, Ezemu,

30. Eltoladi, Kesili, Horma,

31. Siklagi, Madmana, Sansana,

32. Lebaothi, Shilhimu, Aini na Rimoni. Jumla ya miji waliyopewa ni ishirini na tisa pamoja na vijiji vyake.

33. Miji iliyokuwa kwenye tambarare ilikuwa: Eshtaoli, Sora, Ashna,

34. Zanoa, Enganimu, Tapua, Enamu,

35. Yarmuthi, Adulamu, Soko, Azeka,

36. Shaaraimu, Adithaimu, Gedera na Gederothaimu. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na minne pamoja na vijiji vyake.

37. Walipewa pia miji ya Senani, Hadasha, Migdal-gadi,

38. Dileani, Mizpa, Yoktheeli,

Kusoma sura kamili Yoshua 15