Agano la Kale

Agano Jipya

Yoshua 13:27 Biblia Habari Njema (BHN)

kadhalika miji iliyokuwa katika bonde la Beth-haramu, Beth-nimra, Sukothi na Zafoni na nchi yote iliyokuwa ya mfalme Sihoni wa Heshboni; eneo hilo lilikuwa upande wa mashariki wa Yordani na kupakana na upande wa kusini wa bahari ya Kinerethi.

Kusoma sura kamili Yoshua 13

Mtazamo Yoshua 13:27 katika mazingira