Agano la Kale

Agano Jipya

Yoshua 12:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Utawala wake ulienea huko kwenye mlima Hermoni, huko Saleka, Bashani yote mpaka mipaka ya Wageshuri na Wamaaka, nusu ya Gileadi hadi mpakani mwa nchi ya mfalme Sihoni wa Heshboni.

Kusoma sura kamili Yoshua 12

Mtazamo Yoshua 12:5 katika mazingira