Agano la Kale

Agano Jipya

Yoshua 11:23 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, Yoshua akaitwaa nchi yote kulingana na yote yale Mwenyezi-Mungu aliyomwambia Mose. Yoshua akaikabidhi kwa Waisraeli iwe mali yao, wagawane kulingana na makabila yao. Kisha nchi nzima ikatulia, ikawa haina vita tena.

Kusoma sura kamili Yoshua 11

Mtazamo Yoshua 11:23 katika mazingira