Agano la Kale

Agano Jipya

Yoshua 10:40 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, Yoshua aliiteka nchi yote; aliwashinda wafalme wa sehemu za milimani, eneo la Negebu, na sehemu za nchi tambarare na miteremko. Hakuacha chochote chenye uhai ila aliangamiza kila kitu kama Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, alivyoamuru.

Kusoma sura kamili Yoshua 10

Mtazamo Yoshua 10:40 katika mazingira