Agano la Kale

Agano Jipya

Yobu 8:20-22 Biblia Habari Njema (BHN)

20. “Tazama! Mungu hatamkataa mtu asiye na hatia,wala kuwasaidia waovu.

21. Ila atakijaza kinywa chako kicheko,na midomo yako sauti ya furaha.

22. Wale wakuchukiao wataingiwa na aibu,makao ya waovu yatatoweka kabisa.”

Kusoma sura kamili Yobu 8