Kama nikitenda dhambi,yakudhuru nini ewe mkaguzi wa binadamu?Mbona umeniweka kuwa shabaha ya mapigo yako?Je, mimi nimekuwa mzigo kwako?