Agano la Kale

Agano Jipya

Yobu 39:1-3 Biblia Habari Njema (BHN)

1. “Je, wajua mbuzi wa milimani huzaa lini,au umewahi kuona kulungu akizaa?

2. Je, wajua huchukua mimba kwa muda gani,au siku yenyewe ya kuzaa waijua?

3. “Wajua wakati watakapochuchumaa kuzaa,wakati wa kuzaa watoto wao?

Kusoma sura kamili Yobu 39