Agano la Kale

Agano Jipya

Yobu 35:13-16 Biblia Habari Njema (BHN)

13. Kweli Mungu hasikilizi kilio cha bure;Mungu Mwenye Nguvu hajali kilio hicho.

14. Atakujibu vipi wakati weweunasema kwamba humwonina kwamba kesi yako iko mbele yakena wewe unamngojea!

15. Sasa, kwa vile Mungu anazuia hasira yake,wala hajali sana makosa ya watu,

16. Yobu unafungua mdomo kusema maneno matupu,unazidisha maneno bila akili.”

Kusoma sura kamili Yobu 35