Agano la Kale

Agano Jipya

Yobu 22:1-5 Biblia Habari Njema (BHN)

1. Kisha Elifazi, Mtemani, akajibu Yobu:

2. “Je, binadamu anafaa chochote kwa Mungu?Kwa kweli mwenye hekima anajifaidi mwenyewe tu.

3. Je, unadhani wamfurahisha Mungu kwa kuwa mnyofu?Au anapata faida gani kama huna hatia?

4. Unadhani anakurudi na kukuhukumukwa sababu wewe unamheshimu?

5. La! Uovu wako ni mkubwa mno!Ubaya wako hauna mwisho!

Kusoma sura kamili Yobu 22