Agano la Kale

Agano Jipya

Yobu 20:1-3 Biblia Habari Njema (BHN)

1. Kisha Sofari, Mnaamathi, akajibu:

2. “Fikira zangu zanifanya nikujibu,wala siwezi kujizuia tena.

3. Nasikia maonyo nisiyoweza kuvumilia,lakini akili yangu yanisukuma nijibu.

Kusoma sura kamili Yobu 20