Agano la Kale

Agano Jipya

Yobu 1:1-3 Biblia Habari Njema (BHN)

1. Palikuwa na mtu mmoja nchini Usi, aitwaye Yobu. Mtu huyo alikuwa mwema na mnyofu; mtu mcha Mungu na mwenye kuepukana na uovu.

2. Yobu alikuwa na watoto saba wa kiume na watatu wa kike;

3. alikuwa na kondoo 7,000, ngamia 3,000, jozi 500 za ng'ombe na punda majike 500; na watumishi wengi sana; yeye alikuwa mashuhuri kuliko watu wote huko mashariki.

Kusoma sura kamili Yobu 1