Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 7:31 Biblia Habari Njema (BHN)

Wamejenga madhabahu iitwayo ‘Tofethi’ huko kwenye bonde la mwana wa Hinomu, wapate kuwachoma sadaka watoto wao wa kiume na wa kike humo motoni. Mimi sikuwa nimewaamuru kamwe kufanya jambo hilo, wala halikunijia akilini mwangu.

Kusoma sura kamili Yeremia 7

Mtazamo Yeremia 7:31 katika mazingira