Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 7:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa hiyo, mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Nitaimwaga hasira yangu na ghadhabu yangu mahali hapa, juu ya wanadamu na wanyama, miti mashambani na mazao ya nchi. Itawaka na wala haitaweza kuzimwa.”

Kusoma sura kamili Yeremia 7

Mtazamo Yeremia 7:20 katika mazingira