Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 7:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa hiyo, kama nilivyoutendea mji wa Shilo, ndivyo nitakavyolitendea hekalu hili linalojulikana kwa jina langu, hekalu ambalo nyinyi mnalitegemea; naam, mahali hapa ambapo niliwapa nyinyi na wazee wenu.

Kusoma sura kamili Yeremia 7

Mtazamo Yeremia 7:14 katika mazingira