Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 5:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Mbona hamniogopi? Nauliza mimi Mwenyezi-Mungu!Kwa nini hamtetemeki mbele yangu?Mimi niliweka mchanga uwe mpaka wa bahari,kizuizi cha daima ambacho bahari haiwezi kuvuka.Ingawa mawimbi yanaupiga, hayawezi kuupita;ingawa yananguruma, hayawezi kuuruka.

Kusoma sura kamili Yeremia 5

Mtazamo Yeremia 5:22 katika mazingira