Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 5:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Watayala mazao yenu na chakula chenu;watawamaliza watoto wenu wa kike na wa kiume.Watachinja makundi yenu ya kondoo na ng'ombe;wataiharibu mizabibu yenu na mitini yenu.Miji yenu ya ngome mnayoitegemea,wataiharibu kwa silaha zao.

Kusoma sura kamili Yeremia 5

Mtazamo Yeremia 5:17 katika mazingira