Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 44:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Nao wanawake wakasema, “Tulimfukizia ubani na kummiminia kinywaji malkia wa mbinguni. Tulifanya hivyo kwa kibali cha waume zetu. Tena tulimtengenezea mikate yenye sura yake na kummiminia kinywaji!”

Kusoma sura kamili Yeremia 44

Mtazamo Yeremia 44:19 katika mazingira