Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 36:30 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi juu yake yeye Yehoyakimu mfalme wa Yuda: Yeye hatakuwa na mzawa atakayekalia kiti cha enzi cha Daudi, na maiti yake itatupwa nje kwenye joto mchana na baridi kali usiku.

Kusoma sura kamili Yeremia 36

Mtazamo Yeremia 36:30 katika mazingira