Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 34:14 Biblia Habari Njema (BHN)

‘Kila mwaka wa saba, kila mmoja wenu atamwacha huru ndugu yake Myahudi aliyeuzwa akawa mtumwa kwa muda wa miaka sita. Mnapaswa kuwaacha huru, wasiwatumikie tena.’ Lakini wazee wenu hawakunisikiliza wala kunitegea sikio.

Kusoma sura kamili Yeremia 34

Mtazamo Yeremia 34:14 katika mazingira