Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 32:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Neno la Mwenyezi-Mungu lililomjia Yeremia mnamo mwaka wa kumi wa utawala wa Sedekia, mfalme wa Yuda, ambao ulikuwa mwaka wa kumi na nane wa utawala wa Nebukadneza.

Kusoma sura kamili Yeremia 32

Mtazamo Yeremia 32:1 katika mazingira