Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 31:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Maana Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Imbeni kwa furaha kwa ajili ya Yakobo,pigeni vigelegele kwa ajili ya taifa kuu,tangazeni, shangilieni na kusema:‘Mwenyezi-Mungu na awaokoe watu wake,amewaletea ukombozi waliobaki wa Israeli!’

Kusoma sura kamili Yeremia 31

Mtazamo Yeremia 31:7 katika mazingira