Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 31:13 Biblia Habari Njema (BHN)

Ndipo wasichana wao watafurahi na kucheza,vijana na wazee watashangilia kwa furaha.Nitageuza maombolezo yao kuwa furaha,nitawafariji na kuwapa furaha badala ya huzuni.

Kusoma sura kamili Yeremia 31

Mtazamo Yeremia 31:13 katika mazingira