Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 29:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, nasema hivi: Msikubali kudanganywa na manabii wenu na waaguzi waliomo miongoni mwenu, wala msisikilize ndoto wanazoota.

Kusoma sura kamili Yeremia 29

Mtazamo Yeremia 29:8 katika mazingira