Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 29:16 Biblia Habari Njema (BHN)

Sikilizeni nisemavyo mimi Mwenyezi-Mungu kuhusu mfalme anayekalia kiti cha enzi cha Daudi, na kuhusu watu wote wanaokaa katika mji huu, na ndugu zenu ambao hawakuondoka pamoja nanyi kwenda uhamishoni.

Kusoma sura kamili Yeremia 29

Mtazamo Yeremia 29:16 katika mazingira