Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 21:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Hili ni neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Mwenyezi-Mungu, wakati mfalme Sedekia alipowatuma Pashuri mwana wa Malkia, na kuhani Sefania mwana wa Maaseya, wamwambie Yeremia hivi:

Kusoma sura kamili Yeremia 21

Mtazamo Yeremia 21:1 katika mazingira