Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 19:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Na papa hapa nitaivuruga mipango ya Yuda na Yerusalemu. Nitawafanya watu wao washindwe na kuuawa na maadui zao vitani na kuangamizwa na wale wanaowawinda. Maiti zao nitawaachia ndege wa anga na wanyama wa porini kuwa chakula chao.

Kusoma sura kamili Yeremia 19

Mtazamo Yeremia 19:7 katika mazingira