Huyo ni kama mti uliopandwa kando ya maji,upenyezao mizizi yake karibu na chemchemi.Hauogopi wakati wa joto ufikapo,majani yake hubaki mabichi.Hauhangaiki katika mwaka wa ukame,na hautaacha kuzaa matunda.