Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 16:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Ee Mwenyezi-Mungu!Wewe ndiwe nguvu yangu na ngome yangu;wewe ni kimbilio langu wakati wa taabu.Mataifa toka pande zote duniani yatakujia na kusema:“Wazee wetu hawakuwa na kitu ila miungu ya uongo,vitu duni visivyo na faida yoyote.

Kusoma sura kamili Yeremia 16

Mtazamo Yeremia 16:19 katika mazingira