Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 16:15 Biblia Habari Njema (BHN)

bali wataapa kwa kusema, ‘Kama aishivyo Mwenyezi-Mungu aliyewatoa Waisraeli kutoka nchi ya kaskazini na kutoka katika nchi zote alikowafukuzia!’ Maana, nitawarudisha katika nchi yao niliyowapa wazee wao.”

Kusoma sura kamili Yeremia 16

Mtazamo Yeremia 16:15 katika mazingira