Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 14:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Wakuu wake wanawatuma watumishi wao maji;watumishi wanakwenda visimani,lakini maji hawapati;wanarudi na vyombo vitupu.Kwa aibu na fadhaa wanafunika vichwa vyao.

Kusoma sura kamili Yeremia 14

Mtazamo Yeremia 14:3 katika mazingira