Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 11:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Ndiyo maana Mwenyezi-Mungu wa majeshi anacho cha kusema juu ya watu wa Anathothi ambao wanataka kuniua na kuniambia: “Usitoe unabii kwa jina la Mwenyezi-Mungu, la sivyo tutakuua.”

Kusoma sura kamili Yeremia 11

Mtazamo Yeremia 11:21 katika mazingira