Agano la Kale

Agano Jipya

Yeremia 1:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Maana naziita falme zote za kaskazini na makabila yote. Wafalme wake wote watakuja na kila mmoja wao ataweka kiti chake cha enzi mbele ya malango ya Yerusalemu na kandokando ya kuta zake zote, na kuizunguka miji yote ya Yuda.

Kusoma sura kamili Yeremia 1

Mtazamo Yeremia 1:15 katika mazingira