Agano la Kale

Agano Jipya

Wimbo Ulio Bora 5:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Nilimfungulia mlango mpenzi wangu,lakini kumbe, alikuwa amekwisha toweka.Moyo wangu ulifurahi alipokuwa akizungumza!Nilimtafuta, lakini sikumpata;nilimwita, lakini hakuniitikia.

Kusoma sura kamili Wimbo Ulio Bora 5

Mtazamo Wimbo Ulio Bora 5:6 katika mazingira