Agano la Kale

Agano Jipya

Walawi 27:27 Biblia Habari Njema (BHN)

Kama anayehusika ni mnyama najisi, mwenyewe atamnunua kwa kulingana na mnavyompima na ataongeza asilimia ishirini ya thamani ya mnyama huyo. Kama hakombolewi, basi, atauzwa kulingana na vipimo vyenu.

Kusoma sura kamili Walawi 27

Mtazamo Walawi 27:27 katika mazingira