Agano la Kale

Agano Jipya

Walawi 22:13 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini kama binti yake kuhani ni mjane au amepewa talaka na hana mtoto, naye amerudi nyumbani kwa baba yake, akakaa naye kama alipokuwa kijana, basi, anaweza kula chakula cha baba yake. Hata hivyo, mgeni haruhusiwi kula vyakula hivyo.

Kusoma sura kamili Walawi 22

Mtazamo Walawi 22:13 katika mazingira