Agano la Kale

Agano Jipya

Walawi 2:13 Biblia Habari Njema (BHN)

Utakoleza sadaka zako zote za nafaka kwa chumvi. Kamwe usiache kuweka chumvi katika sadaka yako ya nafaka, kwani chumvi ni ishara ya agano alilofanya Mungu pamoja nanyi.

Kusoma sura kamili Walawi 2

Mtazamo Walawi 2:13 katika mazingira