Agano la Kale

Agano Jipya

Walawi 15:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Kuhani atawatoa hao, mmoja kwa ajili ya sadaka ya kuondoa dhambi na mwingine kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa; naye kuhani atamfanyia huyo mtu ibada ya upatanisho mbele ya Mwenyezi-Mungu na kumwondolea unajisi wake wa kutokwa na usaha.

Kusoma sura kamili Walawi 15

Mtazamo Walawi 15:15 katika mazingira